Kiso'a

Kiso'a ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waso'a kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiso'a imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiso'a iko katika kundi la Kibima-Lembata.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search